Albino kuitwa dili sio sahihiKama binadamu mwenye akili toimamu na una maadili ya kidini au ya kiroho tu basi utakubaliana kuwa unyama na ukatili wanao tendewa ndugu zetu albino unawaumiza na kuwatia hofu ya kuishi kwa amani sheria zinazo simamia makosa kama hayo sijaona kutenda kazi vizuri zaidi ya kuchelewesha hukumu huku ushahidi upo kila kona serikali angalieni hili.

No comments: